MABORESHO Kikosi Cha Simba Kuanza Leo Jumatatu June 17-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MABORESHO Kikosi Cha Simba Kuanza Leo Jumatatu June 17-2024
MABORESHO Kikosi Cha Simba Kuanza Leo Jumatatu June 17-2024, Usajili Simba Kuanza Leo Jumatatu June 17-2024,Simba kuanza Usaili Leo, Usajili wa Simba Leo, Usajili wa Simba 2024/2025.
Klabu ya Simba inatarajiwa kuanza kutoa taarifa mbalimbali kuhusu maboresho ya kikosi cha timu hiyo kuelekea msimu ujao wa 2024/2025, kuanzia Leo Jumatatu tarehe 17 -2024.
Afisa Habari wa Simba, Ahmed Ally alisema wamedhamiria kuanza mapema usajili wa kikosi chao ili kuwahi maandalizi kwaajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara na michuano ya Kimataifa.
“Kuanzia Jumatatu (leo) Juni 17 tutaanza rasmi kutangaza wale ambao tunaachana nao, tutafuata wale ambao wameongeza mikataba na tutamalizia na wachezaji wetu wapya ndani ya Simba,” alisema Ahmed
Dirisha la usajili kwa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Ligi ya Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake msimu wa mwaka 2024/25 tayari limefunguliwa Juni 15-2024 na litafungwa Agosti 15-2024.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: MABORESHO Kikosi Cha Simba Kuanza Leo Jumatatu June 17-2024