MAJINA 171 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Hai 18-05-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MAJINA 171 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Hai 18-05-2024
MAJINA 171 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Hai 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Hai Leo tarehe 18-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Hai May 18-2024, TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI 18-05-2024.
- MAJINA 194 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Mwanga 18-05-2024
- MAJINA 164 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Nzega 18-05-2024
- MAJINA 115 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Chato 18-05-2024
- MAJINA 232 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Mbarali 18-05-2024
- MAJINA 418 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Biharamulo 18-05-2024
- MAJINA 566 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Bunda 18-05-2024
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Hai anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25-05-2024 hadi 27-05-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye
usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Leseni ya Udereva au Hati ya kusafiria na barua ya utambulishobtoka Serikali ya Kijiji/Mtaa. - Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
Cheti cha Mafunzo ya Udereva (Basic Driving Certificate), Leseni ya Udereva (Driving Licence) - Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hati za
matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI. - Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA) - Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika. - Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI LEO MAY 18-2024
MAJINA 171 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Hai 18-05-2024
Hai is one of the seven districts of the Kilimanjaro Region of Tanzania.The district covers approximately 1,217 square kilometres (470 sq mi).
It is bordered to the southwest by the Meru District of Arusha Region, to the west by the Siha District, and to the east by the Moshi Urban District and Moshi Rural District and the Rombo District to the far north.
The western breach part of Mount Kilimanjaro is located in the Hai District. According to the 2022 census, the population of the Hai District was 240,999.