KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MAJINA 232 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Mbarali 18-05-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 18/05/2024 0 Comments

MAJINA 232 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Mbarali 18-05-2024

MAJINA 232 ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya ya Mbarali 18-05-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Leo May 18-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali May 182-204,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 18-05-2024.

MAJINA 232 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Mbarali 18-05-2024

MAJINA 232 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Mbarali 18-05-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Leo May 18-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali May 182-204,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 18-05-2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25 hadi 26/05/2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili
wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kada husika.
 • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa mavazi nadhifu
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji au Mtaa,Kitambulisho cha Uraia, leseni ya udereva au Hati ya kusafiria.
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
  Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hati za
  matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
  HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
 • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
  Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
  vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo
  husika.
 • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
 • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Wilaya ya Mbarali ni joto nyakati za mchana na baridi kiasi nyakati za jioni hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali hiyo.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI LEO MAY 18-2024

MAJINA 232 ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya ya Mbarali 18-05-2024


Mbarali District Council Socio-Economic Profile has been produced in response to the government’s initiative through Prime Minister’s Office Regional Administration and Local Government
(PMORALG) of implementing the Development by Devolution and Local Economic Development (LED). This approach empowers people to fully participate in their own development processes.

To ensure trickle down effects to the local level and households both
from economic growth and service delivery, the plan proposes further decentralization of the Government system in order to respond to local needs in a timely manner. Local Government
must be increasingly empowered to make planning decisions.

This is in line with the goals of the Second Five Year Development Plan II (FYDP II), which cover the 2016/17 to 2020/21 period and outlines new interventions to enable Tanzania industrialize in a way that will transform its economy and its society.

The Pis built on three pillars of accelerating transformation namely industrialization, human development, and implementation effectiveness. Consequently, the Plan aspires to build a base for transforming Tanzania into a semi-industrialized nation as stipulated in the Tanzania Development Vision

(TDV) 2025.
Mbarali, like other District Councils in Tanzania, faces multiple social and economic problems that require sustainable improvement. Among the socio-economic issues that need
special attention in this Council includes lack of enough health facilities and health personnel, high infant and mortality rates, high school dropouts rates at primary and secondary level,
inefficient land use management programs, limited access of agricultural inputs and implements, poor road network and inadequate telecommunication services such as landlines and post Offices. Quality management of social and economic services needs a sustainable
and continuous improvement of essential facilities from time to time.

Generally, the publication of Mbarali District Council Socio-Economic Profile covers a wide range of statistics and information on geography, population, social-economic parameters, social services, economic infrastructure, productive sectors and cross cutting issues.

It is believed, such data are vital to many policy makers, planners, researchers, donors and functional managers. Therefore, constructive views and criticisms are invited from stakeholders and various readers to enable this profile become a better tool in the formulation
and implementation of the country’s policies.

Last but not the least, I would like to acknowledge with thanks, the contribution made by the Office of the Director of Mbarali District Council, National Bureau of Statistics and other
staff of the District Council who devoted their time and efforts to ensure the successful completion of this assignment.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *