MAJINA 33990 ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MAJINA 33990 ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024
MAJINA 33990 ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024,Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za Jeshi la Polisi July 2024, Mkuu wa Jeshi la Polisi anapenda kuwatangazia kuwa vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira TANZANIA POLICE FORCE RECRUITMENT PORTAL.
Usaili wao utafanyika kuanzia tarehe 29/7/2024 hadi tarehe 11/8/2024 nchini kote.
Waombaji wa Tanzania Bara wenye elimu ya Shahada, Stashahada na Astashahada usaili wao utafanyika jijini Dar es Salaam katika Chuo cha Taaluma ya Polisi (DPA) kilichopo Barabara ya Kilwa (Kurasini).
Waombaji wenye elimu ya kidato cha nne na sita usaili wao utafanyika kwenye
mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi.
Waombaji wa Zanzibar wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na nne usaili utafanyika Zanzibar.
Kwa walioko Mikoa ya Unguja usaili
utafanyika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mikoa ya Pemba usaili utafanyika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba (Chakechake).
Kila mmoja anatakiwa kufika akiwa na vyeti halisi vya taaluma (academic
certificates), cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha Mamlaka ya Utambulisho wa Taifa NIDA au namba ya utambulisho wa Taifa NIDA, nguo na viatu vya michezo.
Kijana yeyote atakaefika kwenye usaili baada ya tarehe 29/07/2024 hatopokelewa.
Orodha ya vijana waliochaguliwa kufanya usaili imeambatishwa pamoja kwenye PDF hapa chini!
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI JESHI LA POLISI JULY 2024.
Majina ya waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi Tanzania,Majina ya walioitwa kwenye usaili uhamiaji 2024, Polisi Portal,majina ya waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi 2023/2024, Ajira portal, Ajira portal login,Kuitwa kwenye Interview Jeshi la Polisi Tanzania (TPF)
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: MAJINA 33990 ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024