RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA 39 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Pangani 18-05-2024

Filed in Ajira by on 19/05/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA 39 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Pangani 18-05-2024

MAJINA 39 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Pangani 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Leo tarehe 18 May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Leo May 18-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI 18-05-2024.

MAJINA 39 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Pangani 18-05-2024

MAJINA 39 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Pangani 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Leo tarehe 18 May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Leo May 18-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI 18-05-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 27-28/05/2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
    tangazo husika.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili
    namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI LEO MAY 18-2024

MAJINA 39 ya Walioitwa kwenye Usaili Wilaya ya Pangani 18-05-2024


1; JIOGRAFIA YA WILAYA YA PANGANI 

Wilaya ya Pangani ni miongoni mwa wilaya nane (8)  na Halmashauri kumi na moja (11) zinazounda Mkoa wa Tanga. Kijiografia Wilaya ya Pangani iko kusini mwa Jiji la Tanga, kwa upande wa Mashariki inapakana na Bahari ya Hindi, Magharibi Wilaya ya Handeni, Kaskazini Wilaya ya Muheza na Kusini Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Wilaya ipo Kms 47 kutoka Makao Makuu ya Mkoa. Wilaya ina ukubwa wa eneo la Kilomita za Mraba (KM 2) 1,830.8, na sehemu kubwa iko kwenye ukanda wa Pwani ambapo mto Pangani unaingia Bahari ya Hindi.

1.2: UTAWALA NA IDADI YA WATU

Wilaya ya Pangani inaundwa na Tarafa 4, Kata 14, Vijiji 33 na vitongoji 96.  Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Wilaya ilikuwa na jumla ya watu 54,025 kati ya hao wanaume walikuwa  ni 26,870 na wanawake 27,155 na kaya zilikuwa 13,177 Kwa sasa wilaya inakadiriwa kuwa na watu 59,502 wakiwemo wanaume 29,571  na wanawake 29,931, zipo kaya 14,413 zenye ukubwa wa wastani watu 4.1 kwa kaya. Ongezeko la watu kwa mwaka linakadiriwa kuwa ni 2.2% na msongamano wa watu kwa Kilomita moja ya Mraba (1Km2) ni watu 29.5.

Jedwali 1: Muundo wa Wilaya Kiutawala

TARAFA

IDADI YA KATA

IDADI YA VIJIJI

IDADI YA VITONGOJI

MADANGA

4

9

32

PANGANI

3

3

10

MWERA

5

15

39

MKWAJA

2

6

15

Jumla

14

33

96

2. HALI YA HEWA 

Wilaya ipo kwenye ukanda wa pwani, katika mwinuko kati ya mita 0 – 100 kutoka  usawa wa bahari.  Wilaya hupata mvua za Vuli, Masika na mchoo zenye wastani wa kati ya mm 1000 – 1500 kwa mwaka.

VULI              –  (Oktoba- Disemba) Wastani ni Mm 500- Mm 800

MASIKA        –  (Machi- Mei) Wastani ni Mm 1000- Mm 1400

MCHOO         –  (Julai- Agosti) Wastani ni Mm 100

3.0: HALI YA ULINZI NA USALAMA

Hali ya usalama katika Wilaya kwa ujumla ni shwari na tulivu.  Hakuna matukio makubwa ya kihalifu yaliyojitokeza kwa kipindi kirefu sasa hali ni shwari. Katika kuimarisha ulinzi wa raia na mali zao wilaya imekuwa ikiendelea kutoa mafunzo ya Mgambo kila mwaka pamoja na mafunzo ya polisi jamii. Tunawashukuru wananchi kwa ushirikiano wanaotupatia. Aidha kwa kutumia vyombo vya Dola, Wilaya inaendelea kudhibiti makosa ya kawaida, Jinai, madai na usalama barabarani kwa mujibu wa sheria

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.