MAJINA 41 ya Walioitwa Kwenye Usaili Taasisi ya Nelson Mandela 12-06-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MAJINA 41 ya Walioitwa Kwenye Usaili Taasisi ya Nelson Mandela 12-06-2024
MAJINA 41 ya Walioitwa Kwenye Usaili Taasisi ya Nelson Mandela 12-06-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usahili Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela 12-06-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Leo 12-06-2024.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI YA AFRIKA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA NELSON MANDELA 12-06-2024
Makamu Mkuu wa Taasisi, Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (The Nelson Mandela African Institution of Science and Technology-NM-AIST) anapenda kuwataarifu waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19 Juni, 2023 – 21 Juni, 2024 na hatimaye kuwapangia kituo cha kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika 19 Juni, 2024 – 21 Juni, 2024 kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili; muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada;
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria;
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji;
- Wasailiwa watakaowasilisha“Testimonials”, “Provisional Results”,
“Statement of results”, hati za matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI; - Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi;
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili;
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA);
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI YA AFRIKA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA NELSON MANDELA LEO JUNE 12-2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Leo 12-06-2024., MAJINA 41 ya Walioitwa Kwenye Usaili Taasisi ya Nelson Mandela 12-06-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usahili Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela 12-06-2024