KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MAJINA 417 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Songwe 18-05-2024 

Filed in Ajira by on 19/05/2024 0 Comments

MAJINA 417 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Songwe 18-05-2024 

MAJINA 417 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Songwe 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Leo tarehe 18 May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Leo May 18-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGWE 18-05-2024.

MAJINA 417 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Songwe 18-05-2024

MAJINA 417 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Songwe 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Leo tarehe 18 May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Songwe Leo May 18-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGWE 18-05-2024.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Songwe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25/05/2024 hadi 28/2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili
wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
 • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Mavazi nadhifu.
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au Barua ya Utambulisho toka kwa
  Mtendaji wa Kijiji/ Mtaa.
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI,
  Astashahada na Stashahada, kutegemeana na sifa za Mwombaji.
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hati za
  matokeo za Kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
  HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
 • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali usaili utakapofanyika.

 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
  Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
  vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
  tangazo husika.
 • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili.
 • Hali ya hewa ya Mkwajuni Makao Makuu ya Wilaya ya Songwe ni Joto hivyo Wasailiwa wanashauriwa
  kuwa na nguo za aina zote nguo za Baridi kwa Mazingira ya njiani na nguo za Joto kwa Mazingira ya
  Mkwajuni.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGWE LEO MAY 18-2024

MAJINA 417 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Songwe 18-05-2024 


Songwe District is among of the District of Songwe Regional with synonymous name as ‘’Tanzania land of Gold’’

The District has been established in year 2015 following Government note number 433b dated September 25th under United Republic of Government Tanzania Parliament act no. 7/1982 of LOCAL GOVERNMENT [DISTRICT AUTHORITIES] and was split from Chunya District, Mbeya Region, Tanzania

The District is allocated in southern west of Tanzania and has an area of 16,070 kilometers out of which 14, 965 is occupied by land and 1,105 is occupied by water

The District is bordered with the following Districts:-

To the West is bordered with Momba , Milele [Katavi Region] and Sumbawanga [Rukwa Region]

To the East is bordered with Chunya District

To the North is bordered with Sikonge District [Tabora Region]

To the South is bordered with Mbozi District [Mbeya Rural Region]

The District has a has total population of 133,692 people according to censor of 2012 were 67, 603 are Women and 66,189 are Men

The District has 2 Division, 18 wards and 43 villages and has the parliament province which is Songwe

THE ECONOMIC BASE AS TO COMMUNIT MAIN ACTIVITIES ARE:-

Main Economic activities are:-

•Gold mining

•Coal mining

•Agriculture Activities

•Livestock keeping

•Bee keeping

•Fishing Activities

•Tourism

•Forest keeping

According to 2012 censor income per capital of citizen seems to be Tzs. 268,000.00 – 331,000.00 per person per year

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *