RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA 49 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Ya Kishapu 21-05-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 21/05/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA 49 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Ya Kishapu 21-05-2024

MAJINA 49 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Ya Kishapu 21-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu Leo May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu May 21-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU 21-05-2024.

MAJINA 49 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Ya Kishapu 21-05-2024

MAJINA 49 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya Ya Kishapu 21-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu Leo May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu May 21-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU 21-05-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe
25-05-2024 hadi 28-05-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili
huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA
    KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  •  Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo
    husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU LEO MAY 21-2024


Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.

Uanzishwaji wa halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.

Wilaya ya Kishapu ilianzishwa Julai 1, 2002 kama matokeo ya mgawanyiko wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Mnamo Julai 1, 2006, Halamshauri ilianzaishwa rasmi baada ya kutangazwa kutoka Gazeti la Serikali la Julai 29, 2005 na Na. 220 ya GN.

Eneo na Wilaya

Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu ni kati ya wilaya tatu ambazo zinaunda Mkoa wa Shinyanga ambapo wilaya nyingine ni Kahama na Shinyanga. Wilaya hiyo inapakana na Wilaya ya Meatu (Simiyu) na Iramba (Singida) katika upande wake wa mashariki na Shinyanga upande wa magharibi, Igunga upande wa kusini, Kwimba na Maswa kwa upande wa kaskazini.

Eneo la Wilaya

Wilaya ina kilomita ya mraba 4,333 ambayo ni sawa na asilimia 8.5 ya eneo la Mkoa wa jumla ambayo iko kilomita za mraba 50,781. Eneo lote la makazi ya binadamu ni kilomita ya mraba 1,536.4 ambayo ni asilimia 35.5 ya eneo la jumla, Eneo la shughuli za Kilimo ni 1,898.33 ambalo ni 43.8 ya eneo la jumla. Eneo la kutunza mifugo ni kilomita za mraba 747.02 ambazo ni asilimia 17.2 ya jumla ya eneo hilo, eneo la misitu ni kilomita za mraba 100.78 ambayo ni asilimia 2.3 ya eneo la jumla na eneo la asilimia ni 50.47 ambayo ni asilimia 1.2 ya jumla eneo.

Eneo la Utawala

Wilaya ina tarafa tatu 3, kata 29 na Vijiji 117 ambapo ina jimbo moja la uchaguzi uchaguzi. Wilaya imefanikiwa kuanzisha Mamlaka mji mdogo wa Kishapu.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.