KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MAJINA 73 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wlaya ya Momba 18-05-2024

Filed in Ajira by on 19/05/2024 0 Comments

MAJINA 73 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wlaya ya Momba 18-05-2024

MAJINA 73 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wlaya ya Momba 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Momba Leo tarehe 18 May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Momba Leo May 18-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WLAYA YA MOMBA 18-05-2024.

MAJINA 73 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wlaya ya Momba 18-05-2024

MAJINA 73 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wlaya ya Momba 18-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Momba Leo tarehe 18 May 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Momba Leo May 18-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WLAYA YA MOMBA 18-05-2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Momba anayo
furaha kuwatangazia waombaji kazi waliotuma maombi ya ajira kwa nafasi
ya Mtendaji wa Kijiji lll kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 25 – 26/05/2024.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:

 • Usaili wa Mchujo utafanyika tarehe 25/05/2024
 • Usaili wa Mahojiano ya ana kwa ana utafanyika tarehe 26/05/2024
 • Muda wa kuanza usaili ni saa 01:00 Asubuhi
 • Mahali pa kufanyia Usaili ni Ukumbi wa Hatmashauri ya Wilaya ya Momba.
 • Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya Utambuzi.
  Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na kitambulisho cha mpiga kura, Kitambulissho cha Uraia au hati ya kusafiria.
 • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI kuanzia cheti cha kuzaliwa, Kidato cha lV (nne), Kidato cha Vl (sita) Astashahada na Stashahada.
 • Wasailiwa watakaowasilisha “Testimonials” “Provisional Results”, “statement of Results” Hati za matokeo za kidato cha
  lV na Vl HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI;
 • Kila Msailiwa atajigharamia chakula, Usafiri na Malazi
  Kila tMsailiwa azingatie Tarehe, Muda na mahali pa kufanyia Usaili.
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao
  vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika TCU au NECTA’.
 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika Tangazo hili
  watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotan gazwa na kuzingatia mahitaji ya Tangazo husika’
 • Wasailiwa wote watioitwa kwenye Usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku Ya Usaili.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA LEO MAY 18-2024

MAJINA 73 ya Walioitwa Kwenye Usaili Wlaya ya Momba 18-05-2024


Wilaya ya Momba, ni miongoni mwa wilaya mpya, ilianzishwa rasmi mwaka 2012 na Serikali kwa mujibu wa kifungu cha tano (5) sheria za Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya), sura namba 287 R.E 2012 na pamoja na sheria nyinginezo zinazohusika na uanzishwaji wa Wilaya ni pamoja na Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya uanzishwaji wa mikoa na Wilaya sura namba 397 ya mwaka 2012, baada ya kugawanya kwa Wilaya ya Mbozi kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa wakazi wa Wilaya ya Momba, kufuatia tangazo la Serikali (GN ) Namba 73 la mwaka 2012 wilaya ya Momba ilitangazwa kuanzishwa rasmi pamoja na wilaya nyingine 18, hati rasmi ya uanzishwaji wa wilaya ya Momba na kuanza kutumika ilitolewa tarehe 23/12/2012.

Wilaya ya Momba inaundwa na halmashauri mbili , halmashauri ya Wilaya ya Momba na halmashauri ya Mji wa Tunduma, ambazo kwa pamoja zina tarafa 4, halmashauri ya wilaya ya Momba ikiwa na tarafa 3 na jimbo moja la uchaguzi na halmashauri ya Wilaya ya mji wa Tunduma ikiwa na tarafa 1 na jimbo moja la uchaguzi.

Wilaya ya Momba inapatikana Magharibi mwa Mkoa mpya wa Songwe, kati ya Latitudo 80 10” Kusini na 90 15”kusini mwa mstari wa Equator, Longitudo 320 5’Mashariki na 320 45” Mashariki mwa mstari wa Greenwich ya Meridian. Wilaya inapakana na Mkoa wa Rukwa na Nchi ya Zambia upande wa Magharibi, Upande wa Mashariki inapakana na Wilaya ya Mbozi, Upande wa Kaskazini inapatikana na Wilaya ya Chunya, na kusini inapakana na Wilaya ya Ileje.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *