MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Tanzania June 20-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Tanzania June 20-2024
MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Tanzania June 20-2024,Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Kutoka Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Leo 20-06-2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania tarehe 20 June 2024, Kuitwa Kwenye Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) June 20-2024.
- 9 Wakamatwa Kifo Cha Mtoto Asimwe yupo Paroko na Baba Mzazi
- NAFASI za Kazi Kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi June 20-2024
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA JINA LA NYONGEZA 20-06-2024
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25-06-2024 hadi 27-06-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria. - Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji. - MAJINA 739 ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Tanzania June 19-2024
- Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hati za
matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
.Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. - Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA) - Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika. - Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
- Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa Jiji la Dar es Salaam lina foleni ya magari kutegemea na mahali
unapotoka hasa nyakati za asubuhi na jioni hivyo mnashauriwa kuzingatia muda wa kuanza usaili.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA NYONGEZA YA WALIOITWA KWENYE USAILI OUT LEO JUNI 20-2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Kuitwa Kwenye Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) June 20-2024., MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Tanzania June 20-2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania tarehe 20 June 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Kutoka Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Leo 20-06-2024