RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili VETA April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 26/04/2024 0 Comments

MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili VETA April 2024

MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili VETA April 2024, MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili VETA 25-04-2024,Kuitwa Kwenye Usaili VETA April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili VETA April 25-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA) 25-04-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya
Ufundi Stadi (VETA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa
kuendeshwa kuanzia tarehe 28-04-2024 hadi 29-04-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji
kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-

MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili VETA April 2024, MAJINA ya Nyongeza Walioitwa kwenye Usaili VETA 25-04-2024,Kuitwa Kwenye Usaili VETA April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili VETA April 25-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA) 25-04-2024.

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
 • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
  kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
  Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
  Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za
  Mwombaji.
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
  matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
  HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
 • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
  Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
  vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
 • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
 • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
 • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

KUONA MAJINA YA NYONGEZA WALIOTWA KWENYE USAILI VETA APRIL 25-2024 DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *