RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 02/03/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Majina ya Nyongeza Taasisi Mbalimbali Za UMMA 02-03-2024,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Ajira portal, Tangazo LA KUITWA kwenye USAILI March 2024

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024

MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Majina ya Nyongeza Taasisi Mbalimbali Za UMMA 02-03-2024,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Ajira portal, Tangazo LA KUITWA kwenye USAILI March 2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC), Mfuko wa Self – SELF MF, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02-03-2024 hadi 19-03-2024 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Majina ya Nyongeza Taasisi Mbalimbali Za UMMA 02-03-2024,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Ajira portal, Tangazo LA KUITWA kwenye USAILI March 2024

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.
  • NAFASI za Kazi Wizara ya Kilimo Sekta ya Uvuvi March 2024
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

KUONA MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024 Download PDF HAPA

NB: GENERAL CONDITIONS FOR APPLICANTS

GENERAL CONDITIONS

  • All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however, should also observe the age limit for each position where indicated.
  • Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae (CV) having reliable contact, postal address, e-mail and telephone numbers.
  • Applicants should apply on the strength of the information given in the advertisement.
  • The title of the position and institution applied for should be written in the subject of the application letter; short of which will make the application invalid.
  • Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates:
    – Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
    – Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.
    – Form IV and Form VI National Examination Certificates.
    – Computer Certificate
    – Professional certificates from respective boards
    – One recent passport size picture and birth certificate.
  • FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED
  • Testimonials, Partial transcripts and results slips will NOT be accepted.
    viii. Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will necessitate to legal action
  • Applicants for senior positions currently employed in the public service should route their application letters through their respective employers.
  • Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010.
  • Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply.
  • Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.
  • Certificates from foreign examination bodies for ordinary or advanced level education should be certified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA)
  • Certificates from foreign Universities should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU)
  • Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate
  • Women are highly encouraged to apply
  • Application letters should be written in English or Swahili

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI March 2024 Download PDF, WALIOITWA KWENYE USAILI Utumishi March 2024, Ajira portal login, Call for Interview Ajira Portal, Walioitwa kwenye usaili halmashauri mbalimbali March 2024, MAJINA ya walioitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Ajira March 2024, MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI Ajira Portal, Ajira portal Vacancies, Sekretarieti ya ajira.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.