RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Waliofuzu Usaili wa Kuandika Shirika la Posta June 17-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 17/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Waliofuzu Usaili wa Kuandika Shirika la Posta June 17-2024

MAJINA ya Waliofuzu Usaili wa Kuandika Shirika la Posta June 17-2024, Majina ya Wasailiwa Waliochaguliwa kuendelea na usaili wa Vitendo na Mahojiano Posta,Matokeo ya Usaili wa Kuandika Shirika la Posta June 17-2024.

MAJINA ya Waliofuzu Usaili wa Kuandika Shirika la Posta June 17-2024

MAJINA ya Waliofuzu Usaili wa Kuandika Shirika la Posta June 17-2024, Majina ya Wasailiwa Waliochaguliwa kuendelea na usaili wa Vitendo na Mahojiano Posta,Matokeo ya Usaili wa Kuandika Shirika la Posta June 17-2024.

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wa Vitendo na Mahojiano wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye
tangazo hili.

  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates);
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka;
  • Usaili wa Vitendo kwa Kada za Afisa TEHAMA II utafanyika tarehe 18 Juni, 2024 kuanzia saa mbili (2) asubuhi 02:00 katika Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam
    (DIT) Jijini Dar es Salaam;
  • Usaili wa Vitendo kwa Kada ya Dereva II utafanyika tarehe 18 Juni, 2024 kuanzia saa mbili (2) asubuhi 02:00 katika Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli Jijini Dar es Salaam.
  • Wasailiwa wote walio chaguliwa kwaajili ya usaili wa vitendo wawe
    wamefika kwenye ofisi ya kukatia tiketi za mabasi ya kwenda kwa haraka (UDART) iliyopo Stendi ya Mabasi ya Magufuli Saa mbili (2) kamili asubuhi kwa ajili ya kupata maelekezo;
  • Usaili wa Mahojiano kwa kada zote utafanyika tarehe 21 Juni, 2024 kuanzia saa moja (1) Asubuhi 01:00 katika Ofisi ya Shirika la Posta Makao Makuu zilizopo Mtaa
    wa Ghana, Jengo la Posta House Jijini Dar es Salaam

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOFUZU USAILI WA KUANDIKA SHIRIKA LA POSTA LEO JUNE 17-2024

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LEO JUNI 17-2024.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , ,

Comments are closed.