RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Walioitwa Kazini Halmashauri ya Wilaya ya Moshi February 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 18/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kazini Halmashauri ya Wilaya ya Moshi February 2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini Halmashauri ya Wilaya ya Moshi February 2024,Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Announcement tangazo la kuitwa kazini halmashauri ya wilaya ya moshi,Nafasi za kazi halmashauri YA manispaa ya Moshi.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Halmashauri ya Wilaya ya Moshi February 2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini Halmashauri ya Wilaya ya Moshi February 2024,Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Announcement tangazo la kuitwa kazini halmashauri ya wilaya ya moshi,Nafasi za kazi halmashauri YA manispaa ya Moshi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi ya Dereva II, Mtendaji wa Kijiji III na Msaidizi wa Kumbukumbu II waliofanya usaili kati ya tarehe 06/02/2024 hadi tarehe 11/02/2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Halmashauri ya Wilaya ya Moshi February 2024,Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Announcement tangazo la kuitwa kazini halmashauri ya wilaya ya moshi,Nafasi za kazi halmashauri YA manispaa ya Moshi.Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri tarehe 19/02/2024 saa 2:00 Asubuhi Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi (KDC) wakiwa na Kitambulisho cha NIDA, na Vyeti halisi (Original Certificates) vya Kuzaliwa, Kidato cha nne na vyeti vya Taaluma ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

BONYEZA HAPA KUONA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI TAREHE 14/02/2024.

Historia

Moshi District Council was established in January, 1984 by provisions of section 8 and 9 of the Local Government (District Authorities) Act 1982 with 45 Councilors in Number, of which 27 were elected, 1 each from the Wards within the Council, 5 were elected by the Council from the persons nominated by party Organizations and 3 were appointed by the Minister .1 Member of Parliament represented the consistency (Moshi Rural) and 9 were elected by the Council from amongst the villages Chairmen.

Dira na Dhima

Mission.
To create condusive social and economic development of Moshi District people through provision of effective and efficiency supporting service of high quality.

Vision.
Moshi District council to become a council with development economy and improved social service
to the people of Moshi District Council by 2025.

Majina ya tarafa za moshi mjini,
Halmashauri ya wilaya ya moshi vijijini,
Jina la mkuu wa wilaya ya moshi mjini,
Wilaya za moshi vijijini Moshi District Council address, Shule za msingi moshi vijijini, Halmashauri ya wilaya ya chamwino, Ramani ya moshi vijijini, Mitaa ya moshi mjini, Moshi municipal council po box, Ramani ya moshi mjini.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.