SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA

RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA

JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA

PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA February 02-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 03/02/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA February 02-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA February 02-2024,  Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 02-02-2024, Ajira portal, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI, Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI, Tangazo LA kuitwa kazini.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 23-06-2022 na tarehe 12-12-2023
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA February 02-2024,  Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 02-02-2024, Ajira portal, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI, Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI, Tangazo LA kuitwa kazini.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA February 02-2024

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA FEBRUARY 02-2024 DOWNLOAD PDF

Walioitwa kuripoti kazini taasisi mbalimbali za umma, Ajira portal login, Majina ya walioitwa kazini 2024,
Sekretarieti ya ajira, Ajira portal news, Tangazo LA Kuitwa Kazini February 2024, Tangazo LA kuitwa kazini 2024 tamisemi, Tangazo la kuitwa kazini UTUMISHI February 2024.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA February 02-2024

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *