MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 21-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 21-2024
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 21-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo June 21-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo Juni 21-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 21-2024.
- NAFASI 127 za Kazi Kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Tabora June 2024
- NAFASI za Kazi Kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi June 20-2024
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 21-06-2024
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-05-2023 na tarehe 06-05-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenyek anzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada yan afasi kupatikana.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa
MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi;
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia,
Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI KUTOKA TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA LEO JUNI 21-2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo Juni 21-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo June 21-2024, MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 21-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo June 21-2024.