RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 22-2024

Filed in Ajira by on 23/05/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 22-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 22-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo May 22-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo May 22-2024, TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-05-2024.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 22-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 22-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo May 22-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo May 22-2024, TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-05-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-05-2023 na tarehe 19-03-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada yabnafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho
kwa ajili ya utambuzi;

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha
kazi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI KUTOKA TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA LEO MAY 22-2024

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *