RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 31-2024 

Filed in Ajira, Michezo by on 31/05/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 31-2024 

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 31-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo May 31-2023, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo May 31-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI May -2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Kutoka UTUMISHI May 31-2024, TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 31-05-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 12-06-2023 na tarehe 07-05-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho
kwaajili ya utambuzi;

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha kazi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI UTUMISHI LEO MAY 31-2024

MAJINA MENGINE YA WALIOITWA KAZINI KUTOKA UTUMISHI LEO MAY 31-2024 SOMA HAPA CHINI!

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-05-2023 na tarehe 07-05-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 31-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo May 31-2023, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo May 31-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI May -2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Kutoka UTUMISHI May 31-2024, TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 31-05-2024.

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 31-2024

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho
kwaajili ya utambuzi;

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha kazi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA MENGINE YA WALIOITWA KAZINI UTUMISHI MAY 31-2024

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *