MAJINA ya Walioitwa Kazini Wilaya ya Bunda May 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI May 31-2024
MAJINA ya Walioitwa Kazini Wilaya ya Bunda May 2024, Orodha ya Majina ya Waliopangiwa Vituo vya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Bunda May 2024, Kuitwa Kazini Halmashauri ya Wilaya ya Bunda May 2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA 31-05-2024.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anapenda kuwataarifu waombaji kazi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III waliofanya usaili tarehe 26/05/2024 kuwa waliofaulu usaili huo ni kama ilivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda tarehe 03/06/2024 saa 2:00 Asubhi wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates) vya Elimu na Taaluma pamoja na vyeti halisi vya kuzaliwa.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi katika usaili huo, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA MAY 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Kuitwa Kazini Halmashauri ya Wilaya ya Bunda May 2024, MAJINA ya Walioitwa Kazini Wilaya ya Bunda May 2024, Orodha ya Majina ya Waliopangiwa Vituo vya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Bunda May 2024, TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA 31-05-2024.