RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 13/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024,Majina PDF Waliopata Ajira Afya February 2023/2024.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024,Majina PDF Waliopata Ajira Afya February 2023/2024.

TANGAZO LA KUITWA KAZINI
AJIRA ZA MKATABA KUPITIA UFADHILI WA GLOBAL FUND

Katibu Mkuu, Wizara ya Afya anapenda kuwataarifu juu ya kuitwa kazini kwa waombaji wa ajira za Mikataba kupitia ufadhili wa “Global Fund” waliofaulu usaili uliofanyika kati ya tarehe 01-03 Februari, 2024.

Wahusika ambao majina yao yameorodheshwa kwenye tangazo hili wanatakiwa kuripoti katika Ofisi za Wizara katika jengo la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya tarehe 13-14 Februari, 2024, ghorofa ya nne (4) kwaajili ya kujaza Mkataba wa ajira wakiwa na nakala mbili (2) kwa kila cheti ambacho kilitumika wakati wa kuomba ajira na katika usaili ikiwa ni pamoja na;

MAJINA ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024,Majina PDF Waliopata Ajira Afya February 2023/2024.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024

  • Nakala ya cheti cha kuzaliwa;
  • Nakala ya vyeti vya elimu ya Sekondari (Kidato cha Nne (4) na Sita 6); Nakala ya vyeti vya taaluma;
  • Nakala ya cheti cha Mafunzo kwa Vitendo (Internship);
  • Nakala ya cheti cha usajili kutoka Baraza husika (Valid Licence);
  • Nakala ya Ithibati ya vyeti vya elimu na taaluma (Accreditation na Equivalence) kutoka TCU na NECTA kwa wale waliosoma vyuo vya nje ya nchi pamoja na wale waliosoma Sekondari nje ya nchi/Mitaala ya nje;
  • FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
  • Kwa wale ambao majina yao yanatofautiana katika vyeti vyao pamoja na vyeti vya kuzaliwa wanatakiwa kuwasilisha kiapo cha majina (Deed Pool) kutoka kwa Msajili wa Viapo na kusajiliwa na Msajili wa Hati, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi;
  • Nakala ya Kitambulisho/namba ya Uraia (NIDA); na
  • Picha mbili (2) Passport Size.

Aidha, kwa atakayeripoti nyaraka pungufu za vielelezo tajwa hapo juu hatapokelewa.

ORODHA YA WATUMISHI WANAOITWA KAZINI KUSAINI MIKATABA, AJIRA ZA GLOBAL FUND IMEWEKWA HAPA.

The Ministry of Health is a government ministry of Tanzania. Its central offices are located in Dodoma. Its mission is to “facilitate the provision of basic health services that are good, quality, equitable, accessible, affordable, sustainable[,] and gender-sensitive”.

It was merged with the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under John Magufuli’s reforms.

Ministry of Health Tanzania address
ministry of health, community development, gender and elderly tanzania, ajira.moh.go.tz login, Ministry of Health Tanzania COVID certificate, Ministry of Health Tanzania contact details, www.moh.go.tz ajira.

Ministry of Health, Tanzania
Wizara ya Afya (Swahili)
Ministry overview
Superseding agency
  • Ministry of Health, Community Development, Gender, Elders and Children
Jurisdiction Government of Tanzania
Headquarters Dodoma
Minister responsible
  • Ummy Mwalimu
Deputy Minister responsible
  • Godwin Mollel
Ministry executive
  • Ag. Permanent Secretary
Website moh.go.tz

Office of the Chief Medical Officer

Preventive Services Division

  • Epidemiology and Diseases Control Section
  • Reproductive and Child Health Section
  • Environmental Health, Hygiene and Sanitation Section
  • Health Education and Promotion Section
  • Nutritional Services Section

Curative Services Division

  • Public and Private Health Services Section
  • Diagnostic and Health Care Technical Services Section
  • Traditional and Alternative Medicine Section
  • Oral Health Services Section
  • Non Communicable Diseases, Mental Health and Substance Abuse Section

Human Resources Development Division

  • Health Human Resources Planning Section
  • Allied Health Sciences Training Section
  • Nursing Services Training Section
  • Continue Education and Postgraduate Training Section
  • Social Welfare Staff Development Section

Health Quality Assurance Division

  • Pharmaceutical Services Section
  • Health Services Inspectorate and Quality Assurance Section
  • Health Emergency Preparedness and Response Section
  • Nursing Services Section

Social Welfare Division

  • People with Disabilities and Elderly Persons Section
  • Family, Child Welfare Services and Early Childhood Development Section
  • Juvenile Justice Services Section

Administration and Human Resources Management Division

  • Administration Section
  • Human Resources Management Section

Policy and Planning Division

  • Policy Section
  • Planning Section
  • Monitoring Evaluation and Performance Reporting Section

Miscellaneous units

  • Information and Communication Technology Unit
  • Legal Services Unit
  • Finance and Accounts Unit
  • Government Communication Unit
  • Internal Audit Unit
  • Procurement Management Unit

Majina ya walioitwa kazini February 2024, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI February 2024, Majina ya walioitwa kazini wizara ya afya February 2024, ajira za afya 2024/2025 pdf, Ajira za Afya 2023/2024 dates, Tangazo LA Kuitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024, Tangazo la Ajira Wizara ya Afya February 2024, Tarehe ya kuripoti kazini Ajira Mpya za Afya 2024, Waliochaguliwa Ajira Wizara ya Afya 2024, TAMISEMI Ajira za Afya 2024,:Orodha ya majina ya watumishi wa afya waliopangiwa vituo vya kazi February 2024, Ajira za Afya February 2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , ,

Comments are closed.