MAJINA ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MAJINA ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT 2024
MAJINA ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT 2024,PDF JKT Form Six Selection 2024, How to View JKT Selection for Form Six in 2024,PDF JKT Form Six Selection 2024,www.jkt.go.tz 2024,Nafasi za kujiunga na JKT 2024, Mafunzo ya jkt ni muda gani, Kambi Za JKT Tanzania, www.jkt.go.tz matangazo.
WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2024
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linawaita Vijana waliohitimu Elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2024 kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria kwa mwaka 2024.
Sanjari na wito huo, JKT limewapangia makambi watakayo kwenda kupatiwa Mafunzo na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 01 June hadi 07 June 2024,JKT Selection 2024 PDF.
Vijana hao wamepangwa katika Kambi za JKT Rwamkoma – Mara, JKT Msange Tabora, JKT Ruvu Pwani, JKT Mpwapwa, Makutupora JKT – Dodoma, JKT Mafinga – Iringa, JKT Mlale Ruvuma, JKT Mgambo na JKT Maramba -Tanga, JKT Makuyuni Arusha, JKT Bulombora, JKT Kanembwa na JKT Mtabila – Kigoma, JKT Itaka Songwe, JKT Luwa na JKT Milundikwa Rukwa, JKT Nachingwea – Lindi, JKT Kibiti- Pwani na Oljoro JKT- Arusha.
Aidha JKT linawataka vijana hao kuripoti wakiwa na vifaa vifuatavyo.
- Bukta ya rangi ya ‘Dark Blue’ yenye mpira kiunoni, iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefu unaoishia magotini, isiyo na zipu.
- T-shirt ya rangi ya kijani (Green Vest) Shuka mbili za kulalia zenye rangi ya blue bahari. Soksi ndefu za rangi nyeusi.
- Raba za michezo zenye rangi ya kijani au blue.
- Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangiwa mikoa yenye baridi.
- Track suit ya rangi ya kijani au blue.
- Nyaraka zote zinazohitajika katika Udahili wa Kujiunga na Elimu ya Juu, zikiwemo cheti vya Kuzaliwa, Vyeti vya Kuhitimu kidato cha Nne nk.
- Nauli ya kwenda makambini na kurudi nyumbani.
- Orodha kamili ya majina ya vijana hao, Makambi ya JKT waliyopangiwa na maeneo Makambi hayo yalipo na vifaa wanavyotakiwa kwenda navyo, Inapatikana katika tovuti ya JKT ambayo ni www.jkt.go.tz
- Aidha, majina hayo pia yanapatikana kupitia simu ya mkononi, kwa mtumiaji kupiga USSD CODE *152*00#, kisha atachagua No 8 (Elimu) ikifuatiwa na No 5 (JKT), ambapo mtumiaji ataingiza namba ya shule aliyosoma ikifuatiwa na majina yake matatu kisha mtumiaji ataoneshwa kambi alilopangiwa na mahali ilipo.
- Huduma hii inapatakana kwa watumiaji wa mitandao yote ya simu nchini.
Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele, anawakaribisha vijana waliohitimu kidato cha sita mwaka 2024 kuungana na Vijana wenzao ili kujengewa Uzalendo, Umoja wa Kitaifa, kufundishwa stadi za kazi, Stadi za Maisha na Utayari wa kulijenga na Kulitumikia Taifa lao.
JKT Selection Camps Tanzania releases Form six 2024-25 PDF
WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2024 DOWNLOAD PDF DOCUMENT HAPA
KUONA MAJINA BONYEZA HAPA
For more information Visit Official JKT Website http://www.jkt.go.tz/
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Fomu ya kujiunga na JKT 2024 PDF, How to View JKT Selection for Form Six in 2024, Jinsi ya kujiunga na JKT, Kambi Za JKT Tanzania, Kazi za jkt Mfano wa barua ya kujiunga na JKT., Mafunzo ya jkt ni muda gani, MAJINA ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT 2024, Nafasi za kujiunga na JKT 2024, Nafasi za kujiunga na JKT 2024 download, PDF JKT Form Six Selection 2024, www.jkt.go.tz 2024, www.jkt.go.tz 2024 kujitolea, www.jkt.go.tz matangazo, www.jkt.go.tz news
I need to see the selections but I can’t find them I need more help
Kambi niliyochguliwa jeshi.
nafasi za jeshi 2024
Kujiunga na jeshi
I wanna join jkt
Its good
jeshi
Goood
Naomba kuchaguliwa Jkt
Am i selected to join jkt
I Benedicto a Tanzanian citizen, i only need to know if am among the students selected to join jkt 2024
How to look selection
No
Good
Jeshi la polisi
Naombeni kujiunga na nafasi ya jkt kwa maana sjapata nafasi ya kuchaguliwa
Mbn mm nimeshinda kuangalia majina waliochaguliw ww umefanyaje
Majina ya kujiunga PDF http://www.jkt.go.tz
I need to see the names of people selected in jkt 2024 bt i can not see them plz help me
I need to see the selection please help me
It’s very good program to prepare patriotic students
But mostly are not selected this is more disgusting
0
I need to join with jkt
Mm
I want join JKT
Naomba kujiunga na JKT sijapata selection nipo tayali kujenga Tanzania Bora
How to look JKT selection
Mbona majina kamili hayapo, type ukurasa kamili sasa tuangalie
Nataka ni jiunge jkt n
I need to join jkt
Mbona mwanangu ajachaguliwa Hana vigezo au anaitwa Lawrence baraka obadia should juhudi secondary
It is a good program to prepare patriotic students
Fomu za kujiunga
I want to join jkt
Mbona kila nikiangalia sioni majina ya hao waliochaguliwa nakutana na habari tu na namna ya kuangalia majina ila nikiangalia sioni
Bofya kwenye Mkoa then utafunguka Mkoa angalia Shule alafu jina la Mwanafunzi
Naomba unielekeze by step
Naomba kujua namna ya kuangalia selection za jkt… Au naomba mtu anisaidie kuangalia
Naomba msaada jinsi ya kujiunga na jkt
Naomba kujua utaratibu wa kujiunga
Mungu awe pamoja nasi kwa kila jambo