RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za Bunge August 13-2024

Filed in Ajira by on 13/08/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za Bunge August 13-2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za Bunge August 13-2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za Bunge August 13-2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za Bunge August 13-2024, Walioitwa kwenye Usaili Ajira za Bunge PSRS August 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Bungeni Utumishi PSRS.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI BUNGE LA TANZANIA 13-08-2024

Katibu wa Bunge anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi katika Utumishi wa Bunge kuwa, usaili unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 24-08-2024 hadi 29-08-2024 Jijini Dodoma.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za Bunge August 13-2024Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili wa Mchujo utafanyika kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili. Muda na mahali ambapo usaili
    utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila Msailiwa anatakiwa kufika akiwa amevaa NADHIFU.
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni
    pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho
    cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI (ORIGINAL), kuanzia cheti cha kuzaliwa,
    kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa
    za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha (Testimonials, Provisional Results, Statement of results) hati za
    matokeo HAZITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila Msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wanatakiwa kufika na Hati za Uhakiki wa Vyeti vyao kutoka kwa Mamlaka zinazohusika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa kwa kuzingatia mahitaji ya
    tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili
    namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa kwa sasa, hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za Bunge August 13-2024

KUONA MAJINA BONYEZA HAPA

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: ,

Comments are closed.