MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za Walimu 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
Sektretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma muda wowote inatarajiwa kutangaza kuanza kwa usaili wa nafasi mbalimbali za Kada za Elimu.
Usaili huu unahusisha kada mbalimbali za Elimu na utaendeshwa katika vituo vilivyotengwa kulingana na anuani ya waombaji kazi.
Aidha hii ni fursa muhimu kwa waombaji wote waliotuma maombi yao kuonyesha uwezo wao Katika kujibu kwa usahihi maswali ya Usaili ili kupata nafasi ya kuitumikia jamii katika sekta hiyo muhimu.
Kuelekea kutangazwa Kwa Majina hayo hapa chini tumekuwekea Orodha ya Maswali ambayo yanaweza kuulizwa kwenye vyumba vya usaili.
Jiandae na usaili Kwa kutazama baadhi ya maswali ya usaili hapa chini
Pindi Majina yakitoka tutakuwekea hapa chini, pia unaweza kutazama taarifa zaidi kwenye website ya Ajira kupitia Ajira Portal
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za Walimu 2024