MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya Nyanghwale Leo 21-06-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya Nyanghwale Leo 21-06-2024
MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya Nyanghwale Leo 21-06-2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya Nyang’hwale Leo 21-06-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Leo tarehe 21-2024, Walioitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale June 21-2024.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI YA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA NYANG’HWALE 21-06-2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote
walioomba kazi ya nafasi ya mkataba kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 28/06/2024 na hatimaye
kumpangia kituo cha kazi muombaji kazi atakayefaulu usaili huo watasailiwa wanaoitwa kwenye usaili
wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa mavazi nadhifu.
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Barua ya utambulisho kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji au Mtaa, Kitambulisho cha Uraia, leseni ya udereva au Hati ya kusafiria.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji. - Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hati za
matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI. - Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA) - Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika. - Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Wilaya ya Nyang’hwale ni joto hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali hiyo.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG’HWALE LEO JUNI 21-2024
MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya Nyanghwale Leo 21-06-2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Leo tarehe 21-2024, MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya Nyanghwale Leo 21-06-2024, Walioitwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale June 21-2024.