KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Hospitali ya Benjamin Mkapa 13-01-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 14/01/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Hospitali ya Benjamin Mkapa 13-01-2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Hospitali ya Benjamin Mkapa 13-01-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Hospitali ya Benjamin Mkapa 13-01-2024,Ajira portal news, Benjamin Mkapa Hospital email address, Ajira portal Vacancies benjamin mkapa hospital.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Hospitali ya Benjamin Mkapa 13-01-2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Hospitali ya Benjamin Mkapa 13-01-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Hospitali ya Benjamin Mkapa 13-01-2024,Ajira portal news, Benjamin Mkapa Hospital email address, Ajira portal Vacancies benjamin mkapa hospital.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Hospitali ya Benjamin Mkapa anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 22-01-2024 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili
huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
 • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
  kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
  Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
  matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
  HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
 • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
  Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
  vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
  tangazo husika.
 • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
 • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
 • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa
  nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA 13-01-2024 DONWLOAD PDF

The Benjamin Mkapa Hospital is a tertiary public hospital in Dodoma, the capital city of Tanzania. It was the second hospital in the country to perform kidney transplants [1] but the first to do so with an entire Tanzanian staff in 2018.

Benjamin Mkapa Hospital inapokea wagonjwa wa rufaa kutoka hopitali zote nchini, kwa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF wanatakiwa kuhakikisha wamepatiwa namba ya rufaa kwa hospitali au zahanati aliyotoka ili kuepusha usumbufu wakati wa kufanya usajili mapokezi.

BMH inapokea bima zifuatazo: NHIF, JUBiEE, AAR, STRATEGIES, YERPI MERKEZI na NSSF.

Benjamin Mkapa Institute of Health and Allied Sciences joining Instruction, Benjamin Mkapa University online application, Ajira portal Sekretarieti ya ajira, Ajira portal login, Benjamin Mkapa Hospital, Benjamin Mkapa Hospital postal address, Benjamin Mkapa University courses offered, Ajira portal Vacancies, TRA ajira portal, AJIRA PORTAL news today on Recruitment, Recruitment portal login, MDAs & LGAs, Ajira portal registration, Ajira portal
Ajira portal login, Sekretarieti ya ajira, Ajira portal news, Call for Interview Ajira Portal, AJIRA LEO.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *