MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU March 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU March 2024
MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU March 2024, Orodha Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU March 2024, Majina ya walioitwa kwenye usaili takukuru march 2024 download Pdf, Majina ya walioitwa kwenye usaili takukuru march 2024.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za ajira waliopita mchujo wa awali kwamba mtihani wa usaili wa maandishi (Aptitude test) utafanyika Jijini Dodoma, Chuo cha Mipango siku ya tarehe 09.03.2024.
Mambo muhimu ya Kuzingatia
- Tarehe ya usaili ni tarehe 09.3.2024 siku ya Jumamosi;
- Mtihani utaanza saa 3:00 asubuhi siku hiyo ya tarehe 09.3.2023 kwa waombaji wote;
- Majina ya waombaji wote walioitwa kwenye usaili pamoja na eneo la kufanyia mtihani yanapatikana kwenye wavuti ya TAKUKURU www.pccb.go.tz;
- Kila mwombaji ajaze taarifa zake binafsi kwenye fomu iliyoambatanishwa na orodha ya majina. Fomu pia inapatikana kwenye wavuti ya TAKUKURU www.pccb.go.tz;
- Fomu ya taarifa binafsi ijazwe kwa umakini na kwa usahihi. Fomu hiyo ni sehemu ya mtihani wa Aptitude test. Mwombaji yeyote atakayejaza vibaya Fomu hiyo atakuwa amepoteza nafasi ya kufaulu kwenye usaili huu;
- NAFASI 350 za Kazi TAKUKURU PCCB February 2024
- JINSI ya Kutuma Maombi ya Kazi TAKUKURU February 2024
- Fomu hiyo iwasilishwe siku ya mtihani tarehe 09.3.2024. Msailiwa ambaye hatawasilisha Fomu hiyo atahesabika kuwa ni miongoni mwa walioshindwa kwenye usaili;
- Kila msailiwa aandike namba ya mtihani aliyopewa, atakayeandika jina mtihani wake hautasahihishwa;
- Watakaofaulu kwenye mtihani wa maandishi ndio watakaoitwa kwenye usaili wa mahojiano (oral interview).
MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU March 2024
DOWNLOAD PDF BELOW
Tangazo la Kuitwa kwenye Mtihani wa Usaili Download PDF
Orodha ya Maafisa Uchunguzi Download PD
Orodha ya Wachunguzi Wasaidizi Donwload PD
Fomu ya Taarifa Muhimu za Mwombaji Download PDF
Imetolewa na;
Mkurugenzi Mkuu,
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa,
1 Mtaa wa TAKUKURU S.L.P. 1291,
41101 DODOMA.
HISTORIA YA TAASISI
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya Mwaka 2007.
Sheria hii ilitungwa baada ya kufutwa kwa Sheria ya Kuzuia Rushwa (TAKURU) Sura ya 329 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002.
Kuanzishwa kwa chombo hiki kulikuja baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Mswada wa Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa mwaka 2007 mnamo tarehe 16 Aprili, 2007.
Mswada huu ulisainiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete kuwa Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mnamo tarehe 11 Juni, 2007 na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai, 2007.
PCCB/TAKUKURU Call For Interview 2024, pccb march 2024 kuitwa usaili takukuru, call for written interview TAKUKURU 2024.Majina ya walioitwa kwenye usaili TAKUKURU Machi 2024.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU March 2024, Majina ya walioitwa kwenye usaili takukuru march 2024 download Pdf, Orodha Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU March 2024