RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 21-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 21/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 21-2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 21-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 21-02-2024, Kuitwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 21-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo February 20-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 06-09-2022 na tarehe 22-01-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 21-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 21-02-2024, Kuitwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 21-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo February 20-2024.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 21-2024

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha kazi.

Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi february 21 2024 release,
Majina ya walioitwa kwenye usaili utumishi february 21 2024 date, Orodha ya Majina ya waliotwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo February 21-2024, waliotwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali Leo tarehe 21-2024.

Kuona Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI February 21-2024 Bonyeza hapa

Tangazo LA kuitwa kwenye usaili Utumishi Ajira portal, Walioitwa kwenye usaili Ajira Portal, MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI Tanzania, MAJINA ya walioitwa kwenye USAILI tamisemi, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Call for Interview ajira portal UDOM, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024 Download PDF, WALIOITWA KWENYE USAILI DODOMA February 2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TRA 2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.