MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI May 24-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI May 24-2024
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI May 24-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo May 24-2024, Orodha ya Majina ya Waliopangiwa Vituo vya kazi UTUMISHI May 24-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 24-2024.
- MAJINA ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT 2024
- JINSI ya Kuangalia Majina ya Walioitwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria Mwaka 2024
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 24-05-2024.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili
unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25-05-2024 hadi 28-05-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi
waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia
maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka. - Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za
Mwombaji. - Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI. - Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA) - Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika. - Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
- Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALI ZA UMMA LEO MAY 24-2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo May 24-2024, MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI May 24-2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI May 24-2024, Orodha ya Majina ya Waliopangiwa Vituo vya kazi UTUMISHI May 24-2024
Am waiting for your consideration
Napenda kulitumikia jeshi la polisi na nikotayari kulitumikia