SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZAĀ HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kondoa April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 11/04/2024 0 Comments

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kondoa April 2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kondoa April 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa April 10-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa April 10-2024, TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA 10-04-2024.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kondoa April 2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kondoa April 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa April 10-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa April 10-2024, TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA 10-04-2024.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba
kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15/42024 na 16/04/2024 hatimaye kuwapangia
vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kondoa April 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa April 10-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa April 10-2024, TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA 10-04-2024.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
 • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
  kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
 • MAJINA ya Walioitwa Kazini TANAPA April 09-2024
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
  Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
  matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
  HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
 • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
  Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
  vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
  tangazo husika.
 • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
 • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
 • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa
  nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

KUONA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA 10-04-2024 BONYEZA HAPA

PIA UNAWEZA KUSOMAšŸ‘‡

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *