MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Wizara ya Elimu Zanzibar June 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Wizara ya Elimu Zanzibar June 2024
MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Wizara ya Elimu Zanzibar June 2024, Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana walioomba nafasi za kazi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Awali Zanzibar kwa kada zifutazo:-
FOMU za Kujiunga na Kidato Cha Tano 2024
- MWALIMU WA MATHEMATICS DARAJA LA II
- MWALIMU WA PHYSICS DARAJA LA II
- MWALIMU WA CHEMISTRY DARAJA LA II
- MWALIMU WA AGRICULTURE DARAJA LA II
- MWALIMU WA MECHANICAL ENGINEERING DARJA LA II
- MWALIMU WA SANAA DARJA LA II
- MWALIMU ENGINEERING SCIENCE DARAJA LA II
- MWALIMU BIOLOGY DARJA LA II
- MWALIMU WA ELIMU YA BIASHARA DARJA LA II
- MWALIMU WA IT DARAJA LA II
Kuhudhuria katika usaili wa ana kwa ana ambao unatarajiwa kufanyika siku ya Alhamis ya tarehe 13 June, 2024 saa 2:00 asubuhi.
Usaili huo utafanyika katika Shule ya sekondari Fidel Castro.
Wasailiwa wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti
cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.
Kuona Orodha ya waliokidhi vigezo vya kufanya usaili huo Donwload PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA NAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR JUNE 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Wizara ya Elimu Zanzibar June 2024