RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 06-03-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 07/03/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 06-03-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 06-03-2024,Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 06-03-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA March 06-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo March 06-2024.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 06-03-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 06-03-2024,Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 06-03-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA March 06-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo March 06-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-03-2023 na tarehe 22-01-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 06-03-2024,Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 06-03-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA March 06-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo March 06-2024.Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi;

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha kazi.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI 06-03-2024

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 06-03-2024 DOWNLOAD PDF

Majina ya walioitwa kazini utumishi 06 03 2024 pdf, Walioitwa kazini utumishi 2024, Ajira portal, Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI March 2024, Ajira portal login, Sekretarieti ya ajira, Nijuze Habari Ajira, Utumishi Portal, Tangazo LA kuitwa kwenye usaili Utumishi, Kuitwa Kazini LEO, Ajira portal Vacancies, Walioitwa kazini leo.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.