RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 18-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 18/04/2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 18-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 18-2024, Kuitwa Kwenye Kazini UTUMISHI April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI April 2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-04-2024, Majina ya Waliopangiwa vituo vya Kazi Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 2024.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 18-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 18-2024, Kuitwa Kwenye Kazini UTUMISHI April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI April 2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-04-2024, Majina ya Waliopangiwa vituo vya Kazi Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-01-2023 na tarehe 12-03-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 18-2024, Kuitwa Kwenye Kazini UTUMISHI April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI April 2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-04-2024, Majina ya Waliopangiwa vituo vya Kazi Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 2024.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 18-2024

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi;

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha kazi.

KUONA MAJINA YA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA DOWNLOAD PDF DOCUMENT HAPA

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 18-2024

Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la  Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.

Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.

Mwongozo wa Mabadiliko Katika Matumizi ya Mfumo wa Maombi ya KaziRecruitment Portal User Guide v 2.1

NB: MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI MASHARTI YA JUMLA

  • Waombaji wote lazima wawe Raia wa Tanzania na wasiozidi umri wa miaka 45, hata hivyo, wanapaswa kuzingatia ukomo wa umri kwa kila nafasi inapoonyeshwa.
  • Waombaji lazima waambatanishe na wasifu wa sasa wa Curriculum Vitae (CV) yenye mawasiliano ya kuaminika, anwani ya posta, barua pepe na nambari za simu.
  • Waombaji wanapaswa kuomba kwa nguvu ya habari iliyotolewa katika tangazo.
  • Cheo cha nafasi na taasisi iliyoombewa kiandikwe katika mada ya barua ya maombi; fupi ambayo itafanya maombi kuwa batili.
  • Waombaji lazima waambatishe nakala zao za kina zilizoidhinishwa za vyeti vya Taaluma: – Astashahada/Shahada/Stashahada ya Juu/Diploma/Vyeti. – Nakala za Uzamili/Shahada/Stashahada ya Juu/Diploma. – Vyeti vya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV na
  • Cheti cha Kompyuta – Vyeti vya taaluma kutoka bodi husika – Picha moja ya pasipoti ya hivi karibuni na cheti cha kuzaliwa.
  • SLIPS ZA MATOKEO YA KIDATO CHA IV NA VI HAZIKUBALIKI KABISA vii. Ushuhuda, Nakala Sehemu na hati za matokeo HAZITAKUBALIWA.
  • Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi vya kitaaluma na taarifa nyingine katika CV itahitaji kuchukuliwa hatua za kisheria
  • Waombaji wa nafasi za juu walioajiriwa sasa katika utumishi wa umma wanapaswa kupeleka barua zao za maombi kupitia kwa waajiri wao.
  • Waombaji wa ngazi za kujiunga walioajiriwa sasa katika Utumishi wa Umma wasitume maombi, wanatakiwa kuzingatia Waraka Na. CAC. 45/257/01/D/140 ya tarehe 30 Novemba 2010.
  • Waombaji ambao wamestaafu/wamestaafu Utumishi wa Umma kwa sababu yoyote ile wasitume maombi.
  • Waombaji wanapaswa kuonyesha waamuzi watatu wanaojulikana na mawasiliano yao ya kuaminika.
  • Vyeti vya mitihani ya nje ya elimu ya kawaida au ya juu vithibitishwe na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA)
  • Vyeti vya Vyuo Vikuu vya nje vinapaswa kuthibitishwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)
  • Waombaji wenye mahitaji maalum/kesi (ulemavu) wanatakiwa kuonesha.
  • Wanawake wanahimizwa sana kuomba.
  • Barua za maombi ziandikwe kwa Kiingereza au Kiswahili.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Comments are closed.