KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo May 15-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 15/05/2024 0 Comments

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo May 15-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo May 15-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo May 15-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo May 15-2024, Majina ya Waliopangiwa vituo vya Kazi UTUMISHI Leo May 15-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo tarehe 15-2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 15-05-2024.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo May 15-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo May 15-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo May 15-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo May 15-2024, Majina ya Waliopangiwa vituo vya Kazi UTUMISHI Leo May 15-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo tarehe 15-2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 15-05-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-04-2023 na tarehe 19-03-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo May 15-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo May 15-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo May 15-2024, Majina ya Waliopangiwa vituo vya Kazi UTUMISHI Leo May 15-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo tarehe 15-2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 15-05-2024.Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia,
Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha kazi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA WALIOTWA KAZINI KUTOKA TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA LEO MAY 15-2024

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *