RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili Uhamiaji 2024/2025

Filed in Ajira, Michezo by on 16/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili Uhamiaji 2024/2025

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili Uhamiaji 2024/2025, Majina Ya Usaili Ajira Za Uhamiaji 2024/2025, Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za Uhamiaji 2024/2025,Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za Uhamiaji February 2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Uhamiaji February 2024.

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili Uhamiaji 2024/2025

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili Uhamiaji 2024/2025, Majina Ya Usaili Ajira Za Uhamiaji 2024/2025, Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za Uhamiaji 2024/2025,Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za Uhamiaji February 2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Uhamiaji February 2024 Majina zaidi ya 1500 ya waliotwa kwenye Usaili Uhamiaji Tanzania February 2024.

Idara ya Uhamiaji inawatangazia vijana waliotuma maombi ya nafasi ya Ajira kupitia Ofisi ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, kufika kwenye usaili utakaofanyika katika Ukumbi wa Auditorium – CIVE uliopo Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu Angavu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) siku ya Jumamosi ya tarehe 24 Februari, 2024 saa 1:00 kamili asubuhi.

Kwa wale waliotuma maombi kupitia Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar, wanatakiwa kufika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein uliopo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja siku ya Jumamosi tarehe 24 Februari, 2024 saa 1:00 asubuhi.

Waombaji wote wanatakiwa kufika na Vyeti Halisi (Original Certificates); Cheti cha Kuzaliwa, Kitambulisho cha Taifa au Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Vyeti vya Taaluma, Cheti cha kuhitimu Mafunzo ya Awali ya Kijeshi kutoka JKT/JKU, Vyeti vingine vya Uhitimu wa mafunzo katika fani mbalimbali na Kalamu ya wino ya buluu.

Waombaji ambao Muundo wa fani zao unatakiwa kusajiliwa na Bodi za Taaluma, wanatakiwa kufika na Vyeti vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi katika fani husika.

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili Uhamiaji 2024/2025, Majina Ya Usaili Ajira Za Uhamiaji 2024/2025, Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za Uhamiaji 2024/2025,Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za Uhamiaji February 2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Uhamiaji February 2024.

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili Uhamiaji 2024/2025

WAOMBAJI AMBAO HAWATAFIKA NA VYETI HALISI, HAWATARUHUSIWA KUFANYA USAILI.

Aidha, wasailiwa wote wanatakiwa kujigharamia chakula, usafiri na malazi wakati wote wa zoezi husika.
Tahadhari:

Mwombaji yeyote atakayebainika kuwasilisha nyaraka za kughushi
atachukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufikishwa Mahakamani.

Kuitwa kwenye Usaili Ajira za Uhamiaji February 2024 kuona Majina Bofya hapa

About Immigration Department

Who we are

The Immigration Services Department is established under Section 4(1) of the Immigration Act of 1995 Chapter 54 as amended by Act No.8 of 2015.  It gives the Department the authority to control and facilitate immigration issues in the United Republic of Tanzania. The Department is one of the security organs under Ministry of Home Affairs.

Vision

To become an efficient and effective Institution, which provides high quality Immigration services that meet both national and international standards.

 Mission

To facilitate and control movements of persons through implementation of relevant Laws and Regulations in order to safeguard national security and economic interests.

 Motto

Migration security and development

Majina ya waliochaguliwa uhamiaji 2024 pdf, Majina ya waliochaguliwa uhamiaji 2024 pdf tanzania, NAFASI ZA UHAMIAJI 2024, Majina ya Uhamiaji, Kazi za askari wa Uhamiaji, Tangazo LA AJIRA uhamiaji, Chuo cha mafunzo ya Uhamiaji, www.immigration.go.tz e-services, Uhamiaji Tanzania, Vyeo vya jeshi la uhamiaji, Sheria ya uhamiaji Tanzania pdf, www.immigration.go.tz application form.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.