KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI May 01-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 02/05/2024 0 Comments

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI May 01-2024

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI May 01-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI May 01-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA May 2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 02-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili UTUMISHI May 2024.

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI May 01-2024

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI May 01-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI May 01-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA May 2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 02-05-2024, Kuitwa Kwenye Usaili UTUMISHI May 2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Shirika la Reli Tanzania (TRC) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 11-05-2024 hadi 22-05-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji
kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
 • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
  kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
  Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
  Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za
  Mwombaji.
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
  matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
  HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  8. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
  Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
  vigezo.
 • Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
  tangazo husika
 • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
 • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
 • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

KUONA MAJINA YA WALIOTWA KWENYE USAILI UTUMISHI MAY 01-2024 DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA

Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.

Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.

NB: GENERAL CONDITIONS FOR APPLICANTS

GENERAL CONDITIONS
i. All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however, should also observe the age limit for each position where indicated.
ii. Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae (CV) having reliable contact, postal address, e-mail and telephone numbers.
iii. Applicants should apply on the strength of the information given in the advertisement.
iv.The title of the position and institution applied for should be written in the subject of the application letter; short of which will make the application invalid.
v. Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates:
– Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
– Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.
– Form IV and Form VI National Examination Certificates.
– Computer Certificate
– Professional certificates from respective boards
– One recent passport size picture and birth certificate.
vi. FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED
vii. Testimonials, Partial transcripts and results slips will NOT be accepted.
viii. Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will necessitate to legal action
ix. Applicants for senior positions currently employed in the public service should route their application letters through their respective employers.
x. Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010.
xi. Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply.
xii. Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.
xiii. Certificates from foreign examination bodies for ordinary or advanced level education should be certified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA)
xiv. Certificates from foreign Universities should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU)
xv. Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate
xvi. Women are highly encouraged to apply
xvii Application letters should be written in English or Swahili

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *