SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kyela April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 14/04/2024 0 Comments

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kyela April 2024

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kyela April 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kyela April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kyela April 2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA 14-04-2024.

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kyela April 2024

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kyela April 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kyela April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kyela April 2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA 14-04-2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17-04-2024 hadi 18-04-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili Wilaya ya Kyela April 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kyela April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kyela April 2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA 14-04-2024.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

 • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
 • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
 • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.
 • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
 • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
 • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
 • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
 • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
 • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
 • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
 • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Wilaya ya Ludewa ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

KUONA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA BONYEZA HAPA

Kyela District Council is one of the 7 councils in Mbeya Region and its history traces back in 1972 when the District was established after being split from Rungwe District.

Kyela district is divided into two divisions that are Unyakyusa and Ntebela. In addition, the District has total 33 wards, 93 villages and 398 Hamlets. District has a total of 45 councilors, among them 33 are elected and 12 appointed. 33 councilors are from CCM and 12 from CHADEMA.

In the district there are 4 Standing Committees which are Education, Water and Health; Economic, Works and Environmental; Finance, Planning and Administration and AIDS committee.
Read more.

Dira na Dhamira
Vision: To have a well Educated community with better livelihood.

Mission: To provide High Quality social economic services to the community through efficient and effective use of resources and good governance for improving living standards.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *