RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJUKUMU ya Afisa Mtendaji wa Kijiji

Filed in Makala by on 30/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJUKUMU ya Afisa Mtendaji wa Kijiji

MAJUKUMU ya Afisa Mtendaji wa Kijiji

MAJUKUMU ya Afisa Mtendaji wa Kijiji

MAJUKUMU ya Afisa Mtendaji wa Kijiji, Yafahamu Majukumu ya Afisa Mtendaji wa Kijiji, Majukumu ya Afisa Mtendaji wa Kijiji Tanzania

NAFASI 38 za Madaktari Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe July 2024

  • Atakuwa Mtendaji na Mshauri Mkuu wa Serikali ya Kijiji na Kamati zake katika Mipango ya Maendeleo ya kijamii na Utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo.
  • Atakuwa Afisa Mhasibu wa Serikali ya Kijiji na atasimamia mapato na matumizi ya Serikali ya kijiji.
  • Atakuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji.
  • Ataratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya kijiji.
  • Atakuwa Katibu wa Kamati ya Halmashauri ya Kijiji.
  • Atatafsiri Sera, ataratibu na kusimamia utekelezaji wa Sheria ndogondogo za Halmashauri ya Kijiji.
  • Ataratibu na kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuziwasilisha kwenye Halimashauri ya Kijiji na baadae kwenye kata.
  • Ataongoza vikao vya maendeleo ya Kijiji vitavyowahusisha wananchi na wataalamu waliopo kwenye eneo lake.
  • Atahamasisha wananchi katika kampeni za kuondoa njaa, umasikini, na kuongeza uzalishaji mali.
  • Atasimamia matumizi bora ya Nguvu kazi.
  • Atakuwa Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalamu Katika Kijiji.
  • Atasimamia ukusanyaji wa kumbukumbu za walipa kodi, wataalamu mbalimbali na NGO waliopo katika kijiji.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.