RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

Filed in Makala by on 20/08/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

Ugavi na Manunuzi

Kitengo hiki kina lengo la kuleta ufanisi na kutoa huduma kwenye nyanja za manunuzi, utunzaji na usambazaji wa bidhaa na huduma mbalimbali zinazohitajika kwa ajili ya Wilaya. Kitengo hiki kinaongozwa na Afisa Ugavi Mkuu ambaye anawajibika kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya.

Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

  • Kushauri uongozi juu ya masuala yanayohusiana na manunuzi ya bidhaa na huduma na mchakato mzima wa kusimamia na kudhibiti mwenendo wa bidhaa na huduma katika Wilaya.
  • Kuhakikisha kwamba Wilaya inafuata/kutii taratibu za manunuzi kulingana na sheria ya Manunuzi ya Umma
  • Kuandaa na kufanikisha utekelezaji wa Mpango wa Mwaka wa Manunuzi kwaajili ya Wilaya
  • Kununua, kuhifadhi na kusimamia usambazaji, vifaa na huduma mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya bidhaa na huduma hizo kwenye Wilaya.
  • Kuhakikisha kunakuwepo na utunzaji, uhifadhi sahihi na usambazaji wa mahitaji ya ofisi wa kutosheleza na kwa wakati
  • Kutunza na Kuboresha kumbukumbu ya vifaa na rasilimali za serikali/za ofisi
  • Kushughulikia uratibu wa kikao cha bodi ya manunuzi ya Wilaya  kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya Umma ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013
  • Kuteketeza vifaa/vitu ambavyo havihitajiki

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.