RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAMADOU Samake Afunga Usajili Azam FC

Filed in Michezo, Usajili by on 20/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAMADOU Samake Afunga Usajili Azam FC

MAMADOU Samake Afunga Usajili Azam FC

MAMADOU Samake Afunga Usajili Azam FC

MAMADOU Samake Afunga Usajili Azam FC,Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji wa Kimataifa wa Mali, Mamadou Samake kwa mkataba wa miaka miwili akitokea CR Belouizdad ya Algeria.

Taarifa ya Azam FC imesema kwamba Mamadou Samake mwenye umri wa miaka 14 anafunga rasmi usajili wa klabu hiyo katika dirisha hili kubwa la Usajili msimu 2024/2025.

Taarifa ya Azam FC imeongeza kuwa Samake atajiunga na kambi ya timu nchini Morocco muda wowote kuanzia sasa, tayari kwa maandalizi ya msimu mpya wa 2024/2025.

MAMADOU Samake Afunga Usajili Azam FC

MAMADOU Samake Afunga Usajili Azam FC

Samake anakuwa mchezaji mpya wa nane kusajiliwa na Azam FC msimu huu baada ya beki wa kati, Yoro Mamadou Diaby kutoka Stade Malien alipokuwa anacheza kwa mkopo kutoka akademi ya Yeleen Olympique ya Mali pia.

Wengine ni Kiungo Mshambuliaji, Franck Tiesse kutoka Stade Malien, kiungo mshambuliaji, Cheickna Diakite kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Real Bamako ya kwao Mali pia.

Wengine ni Wacolombia, kiungo Ever Meza kutoka Leonnes ya kwao na Mshambuliaji Jhonier Blanco kutoka Aguilas Doradas ya kwao Colombia pia.

Wengine ni kiungo Nassor Saadun Hamoud kutoka Geita Gold na mshambuliaji Adam Omary Adam kutoka Mashujaa ya Kigoma.

Aidha, Azam FC pia imemnunua moja kwa moja na kumsainisha mkataba wa miaka miwili kipa wa Kimataifa wa Sudan, Mohamed Mustafa kutoka El Merreikh ya Sudan.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.