MANARA Aitaja Red Arrows Siku ya Mwanachi August 04-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MANARA Aitaja Red Arrows Siku ya Mwanachi August 04-2024
MANARA Aitaja Red Arrows Siku ya Mwanachi August 04-2024,Akizungumza kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu yake mbele ya waandishi wa habari, Hajji Manara ameitangaza Red Arrows kutoka Zambia kuwa ndio klabu itakayochuana na Yanga katika kilele cha wiki ya Mwananchi August 04.
Red Arrows ndio mabingwa wa Michuano ya CECAFA Kagame Cup iliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Manara amewataka Mashabiki wa Yanga kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi katika kilele cha wiki ya Mwananchi ili kujaza uwanja wa Benjamin Mkapa.
Aidha Yanga imejipanga kufanya hamasa kubwa ili kuhakikisha Wiki ya Mwananchi 2024 inakwenda kuwa tukio Bora zaidi.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: MANARA Aitaja Red Arrows Siku ya Mwanachi August 04-2024