MANYARA Region Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MANYARA Region Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2024.
Kutokana na zoezi hilo Nijuze Habari imekuwekea Orodha ya Majina ya Wanaoitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoa wa Mara.
MANYARA Region Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024
MAMBO YA KUZINGATIA
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
- Vitambulisho vinavyokubalika ni Pamoja na kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha mpiga kura, Kitambulisho cha Kazi, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva, na barua ya utambulisho kutoka serikali ya Mtaa.
- Kila Msailiwa atajigharamia Chakula, Usafiri na Malazi.
Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahala alipopangiwa kufanyia usaili. - Kila Mmoja aje na kalamu ya rangi ya bluu /nyeusi kwa ajili ya kuandikia.
Waombaji wa kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya tangazo husika.
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
- BABATI DC
- HANANG
- MBULU DC
- MJI WA BABATI
Soma na hizi;
- MIFUMO Miwili Kurahisisha Maboresho ya Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024
- NEC Yaanzisha Mfumo wa Kupata Kitambulisho Online OVRS
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: INEC Majina ya Walioitwa kwenye Usail Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za NEC Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024., Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024 Mkoa wa Manyara, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za NEC 2024, MANYARA Region Walioitwa kwenye Usaili Ajira za INEC 2024