MARA Region Walioitwa Kazini Ajira za INEC 2024.
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MARA Region Walioitwa Kazini Ajira za INEC 2024Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi 2024.
Tumerahisisha sasa kupitia Nijuze Habari utapata Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo/ Kazini Nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024/2025 Mkoa wa Mara.
Orodha ya Majina ya wanaoitwa kwenye Mafunzo/ Kazini imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;