MATOKEO Azam FC vs JKT Tanzania 28 August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MATOKEO Azam FC vs JKT Tanzania 28 August 2024
Klabu ya Azam FC Leo Jumatano ya tarehe 28 August 2024 itacheza mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar Es Salaam huku JKT Tanzania wakiwa wennyeji wa mchezo huo.
MATOKEO Azam FC vs JKT Tanzania 28 August 2024
Aidha Nijuze Habari itakuletea Update zote za mchezo huo unaotarajiwa kupigwa kuanzia saa 10:00 jioni, matokeo JKT Tanzania dhidi ya Azam FC leo tarehe 28-2024.
LIVE JKT Tanzania vs Azam FC Leo Jumatano 28 August 2024.