MATOKEO Simba vs El Qanah FC July 22-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MATOKEO Simba vs El Qanah FC July 22-2024
MATOKEO Simba vs El Qanah FC July 22-2024,Matokeo Simba vs El Qanah FC Leo tarehe 22 July 2024, Matokeo Simba SC vs El Qanah FC Julai 22-2024,Matokeo simba vs El Qanah FC mechi ya Kirafiki Julai 22-2024, El Qanah FC vs Simba SC July 22-2024.
Klabu ya Simba SC itacheza mchezo ujao dhidi ya El Qanah FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini Misri, ukiwa ni mchezo wa Kwanza wa Kirafiki kujiandaa na msimu mpya wa 2024/2025.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Leo Jumatatu Julai 22, 2024 kwenye Uwanja wa Suez Kanal, Mjini Ismailia, Egypt Kuanzia Saa 11:30 Jioni.
MATOKEO Simba vs El Qanah FC July 22-2024
Live Score za Simba Sport Club na El Qanah FC, Wachezaji, ratiba ya msimu huu na matokeo ya leo yanapatikana kwenye Nijuze Habari.
Fuatilia matokeo ya moja kwa moja kati ya Simba SC dhidi ya El Qanah FC hapa chini, Matokeo ya dakika baada ya dakika na takwimu za mechi hiyo zitawekwa hapa chini kuanzia saa 11:30 Jioni.
LIVE Simba vs El Qanah FC Leo Julai 22,2024.
Mechi nyingine ya kirafiki ya Simba ambayo imethibitishwa inatarajiwa kuchezwa Julai 29, dhidi ya Al- Adalah FC inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Saudi Arabia.
Kutoka mechi ya El Qanah FC hadi Al-Adalah kuwa na takribani wiki moja Simba inaangalia uwezekano wa kupata michezo mingine ya kirafiki kabla ya timu kurejea nyumbani Tanzania.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: El Qanah FC vs Simba SC July 22-2024., Matokeo Simba SC vs El Qanah FC Julai 22-2024, MATOKEO Simba vs El Qanah FC July 22-2024, Matokeo Simba vs El Qanah FC Leo tarehe 22 July 2024, Matokeo simba vs El Qanah FC mechi ya Kirafiki Julai 22-2024