MATOKEO ya Usaili Shirika la Mzinga August 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
MATOKEO ya Usaili Shirika la Mzinga August 2024
MATOKEO ya Usaili Shirika la Mzinga August 2024
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA SHIRIKA LA MZINGA ULIOFANYIKA TAREHE 04/08/2024.
Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao