RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MATOKEO Yanga vs Ts Galaxy July 24-2024

Filed in Michezo by on 24/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MATOKEO Yanga vs Ts Galaxy July 24-2024

MATOKEO Yanga vs Ts Galaxy July 24-2024,Matokeo Yanga SC vs Ts Galaxy July 24-2024, Matokeo ya Young Africans vs Ts Galaxy Leo tarehe 24-07-2024, Mpumalanga Premier International Cup 2024,Ts Galaxy vs Young Africans Julai 24-2024.

MATOKEO Yanga vs Ts Galaxy July 24-2024

MATOKEO Yanga vs Ts Galaxy July 24-2024,Matokeo Yanga SC vs Ts Galaxy July 24-2024, Matokeo ya Young Africans vs Ts Galaxy Leo tarehe 24-07-2024, Mpumalanga Premier International Cup 2024,Ts Galaxy vs Young Africans Julai 24-2024.

Klabu ya Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TS Galaxy katika mchezo wa pili wa Mashindano ya Mpumalanga Premier’s International Cup 2024

MATOKEO Yanga vs Ts Galaxy July 24-2024,Matokeo Yanga SC vs Ts Galaxy July 24-2024, Matokeo ya Young Africans vs Ts Galaxy Leo tarehe 24-07-2024, Mpumalanga Premier International Cup 2024,Ts Galaxy vs Young Africans Julai 24-2024.Bao pekee la Yanga limefungwa na Mshambuliaji, Prince Dube katika kipindi cha pili baada ya kupokea pasi kutoka kwa Stephen Aziz Ki.

Baada ya mchezo huu, Young Africans itaendelea kusalia nchini humo kusubiri mchezo unaofuata dhidi ya Kaizer Chiefs inayofundishwa na Kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi.

Mchezo huo maalum wa Kombe la Toyota umepangwa kuchezwa Jumapili Julai 28, 2024 kwenye Uwanja wa Toyota uliopo Bloemfontein nchini Afrika Kusini.

Baada ya mechi hizo tatu Yanga itarejea nchini kwaajili ya kuhitimisha Sherehe za wiki ya Mwanachi August 04-2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.