RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MECHI ya Simba vs Mtibwa yapigwa Stop

Filed in Michezo by on 16/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MECHI ya Simba vs Mtibwa yapigwa Stop

MECHI ya Simba vs Mtibwa yapigwa Stop,Mechi ya simba vs mtibwa yapigwa stop results, Mechi ya simba vs mtibwa yapigwa yaahirishwa, Bodi ya Ligi yaahirisha Mechi ya simba vs mtibwa, Mechi ya Simba vs Mtibwa Sugar imeahirishwa.

MECHI ya Simba vs Mtibwa yapigwa Stop

MECHI ya Simba vs Mtibwa yapigwa Stop,Mechi ya simba vs mtibwa yapigwa stop results, Mechi ya simba vs mtibwa yapigwa yaahirishwa, Bodi ya Ligi yaahirisha Mechi ya simba vs mtibwa, Mechi ya Simba vs Mtibwa Sugar imeahirishwa.

BODI ya Ligi Kuu Tanzania imeahirisha mchezo namba 125 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Simba na klabu ya Mtibwa, ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro, Jumapili Februari 18, 2024 kuanzia saa 10:00 alasiri.

Bodi hiyo imesema kuwa imeahirisha mchezo huo ili kutoa nafasi zaidi ya maandalizi na taratibu za safari kwa klabu ya Simba ambayo inalazimika kusafiri hadi nchini Ivory Coast kwaajili ya mchezo wa hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas uliopangwa kufanyika Ijumaa Februari 23, 2024.

Aidha tarehe mpya ya mchezo huo ulioahirishwa itatangazwa hivi karibuni na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania.

Simba na Mtibwa leo live, Mtibwa Sugar vs Simba SC prediction, Simba vs Mtibwa Sugar results, Simba vs Mtibwa HIGHLIGHTS, Simba vs mtibwa 2024, Where to watch Mtibwa Sugar vs Simba SC, Mtibwa Sugar vs Simba H2H, Simba leo live, Simba vs Mtibwa.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.