Mechi za Yanga zinazofuata 2024/2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPAÂ WHATSAPP BOFYA HAPA
Nijuze Habari ni Blog imekuandalia ratiba ya mechi za Klabu ya Young Africans zinazofuata mwezi huu August 2024.
Kupitia Nijuze Habari utapata ratiba Kamili ya mechi zote za Yanga SC katika mashindano mbalimbali msimu huu wa 2024/2025.
👉August 17-2024
16:00 APR FC vs Young Africans (CAF Champions League)
👉August 24-2025
19:00 Young Africans vs APR FC (CAF Champions League)
👉August 29-2024
19:00 Kagera Sugar vs Young Africans (NBC Premier League)