METACHA Mnata apewa Thank You
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
METACHA Mnata apewa Thank You
METACHA Mnata apewa Thank You, Golikipa Metacha Mnata hatokuwa sehemu ya kikosi cha Young Africans SC kwa msimu ujao wa 2024/2025.
Metacha anaondoka Young Africans baada ya kuitumikia timu hiyo kwa msimu mmoja na nusu.
Kipa huyo alijiunga na Yanga Januari 2023 akitokea Singida Big Stars ambapo amekuwa Klabuni hapo kwa vipindi viwili tofauti.METACHA Mnata apewa Thank You
Mara ya kwanza Metacha alijiunga na Young Africans Agosti 2019 akitokea Tanzania Prisons kisha akaondoka 2021 kabla ya kurejea tena 2023 akitokea Singida Big Stars.