RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

MFANO Barua Ya Kuomba Kazi Jeshi La Polisi 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 19/05/2024 23 Comments

MFANO Barua Ya Kuomba Kazi Jeshi La Polisi 2024

MFANO Barua Ya Kuomba Kazi Jeshi La Polisi 2024,Jinsi ya kujiunga na jeshi la polisi TanzaniaTovuti ya polisi Tanzania Barua ya maombi ya mafunzo veta Historia ya jeshi la polisi tanzania Jinsi ya kujiunga na jeshi la polisi tanzania 2024 Jinsi ya kuandika Barua ya maombi ya kazi kwenye kampuni,www.polisi.go.tz ajira, Fomu ya kujiunga na chuo cha polisi Moshi,Majina ya waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi Tanzania,Mfano wa barua ya kujiunga na jeshi la uhamiaji,Ajira Jeshi la Polisi 2024,Mfano wa barua ya maombi ya kujiunga na jeshi,Jinsi ya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania, Tovuti ya polisi Tanzania Barua ya maombi ya mafunzo veta,Historia ya jeshi la polisi tanzania Jinsi ya kujiunga na jeshi la polisi tanzania 2024, Jinsi ya kuandika Barua ya maombi ya kazi kwenye kampuni.

MFANO Barua Ya Kuomba Kazi Jeshi La Polisi 2024

MFANO Barua Ya Kuomba Kazi Jeshi La Polisi 2024, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), waliopo kambini na nje ya kambi hizo. mwenye Shahada, Diploma, Diploma, kidato cha sita na kidato cha nne.

SIFA ZA MUOMBAJI

 • Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
 • Awe amehitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2018 hadi 2023.
 • Kwa waombaji wa kidato cha nne na sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
 • Kwa waombaji wa kidato cha nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I – IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Point) 26 hadi 28.
 • Kwa waombaji wa kidato cha sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I – III)
 • Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30.
 • Awe na urefu usiopunguwa futi tano na inchi nane (5’8”) kwa wanaume, na futi tano inchi nne (5’4”) kwa wanawake.
 • Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).
 • Awe na uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili na Kingereza.
 • Awe na afya njema kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa Serikali.
 • Awe hajaoa/kuolewa au kuwa na mtoto.
 • Awe hajawahi kutumia dawa za kulevya.
 • Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya Polisi.
 • Awe hajaajiriwa au hajawahi kuajiriwa na taasisi nyingine ya Serikali.
 • Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote Tanzania.
 • Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa kwenye usaili.
 • Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (tattoo).
 • Asiwe na kumbukumbu za uhalifu.
 • Kwa waombaji wenye elimu ya kiwango cha Shahada (NTA level 8),
  Stashahada (NTA level 6) na Astashahada (NTA Level 5 au NVA Level 3) wanatakiwa wawe na fani zilizoainishwa kwenye tangazo hili.
 • JINSI ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi la Polisi Tanzania

UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI

 • Waombaji wote wanatakiwa waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (Handwriting) bila kusahau namba za simu na watumie anuani ya
  Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA.
 • Waombaji wote wafanye maombi yao kupitia kwenye mfumo wa Ajira wa Polisi (TANZANIA POLICE FORCE – RECRUITMENT PORTAL)
  unaopatikana kwenye tovuti ya Jeshi la Polisi ajira.tpf.go.tz

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 21/05/2024

Mfano Barua Ya Kuomba Kazi Jeshi La Polisi 2024 Application letter Samples

Hapa chini PDF ya Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi Jeshi La Polisi nchini Tanzania.

BARUA YA KUOMBA KAZI JESHI LA POLISI TANZANIA

JUMA PAUL MATHIAS,
S.L.P 289,
TEMEKE,
DAR-ES-SALAAM.
30.8.2022.
MKUU WA WILAYA,
S.L.P …. ,
TEMEKE.
K.K
MTENDAJI WA KATA,
KATA YA……,
SL.P …..,
TEMEKE-DAR ES SALAAM.

K.K
MWENYEKITI WA MTAA,
MTAA WA …….,
SL.P …..,
TEMEKE-DAR ES SALAAM.

YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT) KWA KUJITOLEA MWAKA 2024

Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.

Mimi Juma Paul Mathias mkazi wa kijiji cha…. wilaya ya Temeke mkoani Dar es salaam, ninayo furaha kubwa kuleta maombi yangu katika nafasi ya kujiunga na Jeshi La Kujenga Taifa (J.K.T) kama ilivyotangazwa katika tovuti Rasmi ya jeshi la kujenga Taifa Mwezi agosti mwaka 2024, ambapo nina Elimu ya sekondari kidato cha nne ambayo nilimaliza katika shule ya sekondari……. mwaka …. na kufanikiwa kupata daraja la…..

Ninao ujuzi mkubwa pia katika (taja kipaji chako) ambacho endapo kama nitapata nafasi hii,nitakiendeleza na kuwatumikia Watanzania kwa moyo mmoja na kulijenga Taifa letu la Tanzania.

Ni matumaini yangu kwamba maombi yangu yatakubaliwa na kufanikiwa kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria.

Wako katika ujenzi wa Taifa,
(weka sahihi)
JUMA PAUL MATHIAS.

Tags:

Comments (23)

Trackback URL | Comments RSS Feed

 1. Kwa wale ambao bado hawana namba za nida nao wangeangaliwa kwa namna nyingine

 2. ZAINABU PAUL KULYA says:

  I like this

 3. Naitaji ajira ya jeshi la police force Tanzania

 4. Sarah cyprian respita says:

  Maombi ya kujiu ga na jeshi la kujenga taifa( jkt)

 5. Raudha ali says:

  Naomba nafas ya kujiunga na jeshi la police la Tanzania ninafan ya upishi npo tayar kwa amri yoyote ya jeshi mtakapo nihitaji ntafuten kwa kwa namba hii 0710653544

 6. BRAYTON LUKAS SENYAGWA
  S.L.P 170 KILOSA
  MOROGORO
  16/5/2024

 7. Mohd says:

  Good kw jeshi la polis

 8. Alei ali says:

  ALEI ALI SALEH
  DONGE KITARUN
  ZANZIBAR
  CIMU NO 0673671686
  0628444049
  MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA
  MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLIS
  S.L.S.961
  DODOMA
  15/5/2024
  KUH : OMBI LA KUPATIW NAFASI YA AJIRA KATIKA JESHI LA POLIS.
  Kwa wingi wa heshima na tazima naombaa uhusike na mada iliop hapo juu
  Mm nikijan nilio lio maliza kidatu Cha nne katka skuli ya Donge Sekondar ilipo Zanzibar, n baada apo nikenda chuon kuchkuwa mafunzo ya umeme KATIKA chuon Cha Mbadala rah Leo kinacho tambulika na serekali ya Tanzania .
  Kwa hio naombaa KUPATIW NAFASI ya AJIRA KATIKA JESHI LA POLISI Kwa ajili ya kulinda usalama wa nchi yangu .
  Natumai ombi langu limekubaliwa kwa moyo wa huruma.

  Ahsante sana
  Wako mtuu
  Namba sim 0673671686
  028444049

 9. Nataka kuomba ajira ya police 2024

 10. Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la police
  Ninafani nyingi ikiwemo udereva kwa elimu ya chuo
  Pia nimemaliza kidato cha nne, na vyuo vya ufundi
  Pia ni kijana mtanzania mwenye afya bora,
  Ninanizamu na ujuzi mzuri…n.k..

 11. MICHAEL SEVERINE JACOBO,
  DODOMA MJINI,
  KIGAMBONI,
  TANZANIA.

  MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA
  MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLIS
  S.L.S.961
  DODOMA
  15/5/2024
  KUH : OMBI LA KUPATIW NAFASI YA AJIRA KATIKA JESHI LA POLIS.
  Kwa wingi wa heshima na tazima naombaa uhusike na mada iliop hapo juu
  Mm nikijan nilio lio maliza kidatu Cha nne katka skuli ya Waamuzi Sekondar ilipo Pwani Dar es salaam, n baada apo nikenda chuon kuchkuwa mafunzo ya udereva KATIKA chuon Cha DATA DRIVING kinacho tambulika na serekali ya Tanzania .
  Kwa hio naombaa KUPATIW NAFASI ya AJIRA KATIKA JESHI LA POLISI Kwa ajili ya kulinda usalama wa nchi yangu .
  Natumai ombi langu limekubaliwa kwa moyo wa huruma.

  Ahsante sana
  Kwako ujenzi wa taifa
  Namba zangu za cm: 0760215322

 12. ELIZABERTH DANIEL MAKANGA
  IYUNGA
  MBEYA
  SIMU NO.0714047902/0788318222
  MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA
  MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLIS
  S.L.S.961
  DODOMA
  19/5/2024
  KUH : OMBI LA KUPATIW NAFASI YA AJIRA KATIKA JESHI LA POLIS.
  Kwa wingi wa heshima na tazima naombaa uhusike na mada iliop hapo juu
  Mm nikijan nilio lio maliza kidatu Cha nne katka skuli ya Donge Sekondar ilipo Zanzibar, n baada apo nikenda chuon kuchkuwa mafunzo ya umeme KATIKA chuon Cha Mbadala rah Leo kinacho tambulika na serekali ya Tanzania .
  Kwa hio naombaa KUPATIW NAFASI ya AJIRA KATIKA JESHI LA POLISI Kwa ajili ya kulinda usalama wa nchi yangu .
  Natumai ombi langu limekubaliwa kwa moyo wa huruma.

  Ahsante sana
  Wako mtuu
  Namba sim 0714047902
  0788318222

  Reply

 13. MARCO LYATTO TUMBU nimepitia mafuzo ya JKT No 7243 CHEO SM KUTOKA WILAYA YA SENGEREMA MKOA WA MWANZA

 14. MARCO LYATTO TUMBU NINAOMBA NAFASI YA KAZI KATIKA JESHI LA POLICE KWA KULINDA MALI ZA WANAINCHI

 15. Ally Hamisi Mkulale says:

  Ninaomba kazi ya polisi j

 16. MBUSI NDEBILE KWILASA
  S.L.P 308,
  ITILIM,
  SIMIYU.
  30.8.2022.
  MKUU WA WILAYA,
  S.L.P 308 ,
  ITILIMA,
  K.K
  MTENDAJI WA KATA,
  KATA YA CHINAMILI
  S.L.P 308
  ITILIMA-SIMIYU.

  K.K
  MWENYEKITI WA MTAA,
  MTAA WA CHINAMILI
  SL.P 308
  ITILIMA -SIMIYU.

  YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT) KWA KUJITOLEA MWAKA 2024

  Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.

  Mimi MBUSI NDEBILE KWILASA mkazi wa kijiji cha chinamili wilaya ya ITILIMA mkoani SIMIYU, ninayo furaha kubwa kuleta maombi yangu katika nafasi ya kujiunga na Jeshi La Kujenga Taifa (J.K.T) kama ilivyotangazwa katika tovuti Rasmi ya jeshi la kujenga Taifa ambapo nina Elimu ya sekondari kidato cha nne ambayo nilimaliza katika shule ya sekondari chinamili mwaka 2021 na kufanikiwa kupata daraja la 26

  Ninao ujuzi mkubwa pia katika (taja kipaji chako) ambacho endapo kama nitapata nafasi hii,nitakiendeleza na kuwatumikia Watanzania kwa moyo mmoja na kulijenga Taifa letu la Tanzania.

  Ni matumaini yangu kwamba maombi yangu yatakubaliwa na kufanikiwa kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria.

  Wako katika ujenzi wa Taifa,
  (weka sahihi)
  MBUSI NDEBILE KWILASA

 17. MBUSI NDEBILE KWILASA
  ITILIMA
  SIMIYU
  SIMU NO.0750590449/0788246480
  MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA
  MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLIS
  S.L.S.961
  DODOMA
  23/5/2024
  YWH :MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA KWA KUJITOLEA MWAKA(2024)
  Husika na maada tajwa hapo juu
  mim MBUSI NDEBILE KWILASA kijna mwenye umri wa miaka ishilini na mbili(22)
  na elimu ya kidato cha nne katika shule ya sekondari chinmili mwaka2021
  nakupta daraja la 26
  naomba hii kwaajili ya kulinda taifa lang naomba KUPATIWA NAFASI YA AJIRA KATIKA JESHI LA POLISI Kwa ajili ya kulinda usalama wa nchi yangu .
  natumaini maombi langu limekubaliwa kwa moyo wa huruma.

  Ahsante saana
  Wako kazini
  m.n.kwilasa
  MBUSI NDEBILE KWILASA
  Namba sim 0788246480
  0750590449
  no ya nida20020424-39206-00001-27

 18. Naitwa RIZIKI JUMA HALFANI
  ni mkaz wa kijiji cha kitomondo, kata ya Ruvu station,wilaya ya Kibaha vijijini..kwa furaha na amani nilionayo,napenda kutanguliza ombi langu la kutaka kujiunga na jeshi la polisi tanzania..kwa ajili ya kuja kulilinda na kulitetea pamoja na kulijenga taifa langu la Tanzania.ninaiman na kwa moyo mkunjufu mkinipa nafasi..nipo tayar kuja kulipigania taifa langu katika nyanja mbalimbali ili tu taifa langu liweze kubakia katika hali ya utulivu na amani..wako katika ujenzi wa taifa RIZIKI JUMA HALFAN
  0684194414

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *